Tiba
Medicine
Asali: Uponyaji kwa Binadamu
Honey: Healing For Humankind
Nyuki hunyonya utomvu wa maua na matunda ya aina mbalimbali, na ndani ya mwili wake hutengeneza asali, ambayo huihifadhi katika seli zake za nta. Ni karne chache tu zilizopita ndipo wanadamu walipojua kwamba asali hutoka tumboni mwa nyuki. Lakini ukweli huu ulitajwa katika Qur'ani miaka 1,400 iliyopita katika aya ifuatayo:
The bee assimilates juices of various kinds of flowers and fruit and forms honey within its body, which it stores in its cells of wax. Only a couple of centuries ago humans came to know that honey comes from the belly of the bee. But this fact was mentioned in the Qur’an 1,400 years ago in the following verse:
"Kutoka ndani ya matumbo yao hutoka kinywaji chenye rangi mbalimbali, ndani yake mna shifa kwa watu." [Al-Qur'an 16:69] Ni sasa tu ndipo tumetambua kwamba asali ina sifa za kuponya, na pia ni kiuwa-vijidudu hafifu. Warusi walitumia asali kufunika majeraha yao katika Vita vya Pili vya Dunia. Jeraha lilihifadhi unyevu na lilibaki na tishu chache sana za kovu. Kutokana na uzito wa asali, hakuna fangasi wala bakteria waliokuwa wakiweza kukua katika jeraha.
“There issues from within their bodies a drink of varying colours, wherein is healing for men.” [Al-Qur’an 16:69] We are only now aware that honey has healing properties and is also a mild antiseptic. The Russians would use honey to cover their wounds in World War II. The wound would retain moisture and would leave very little scar tissue. Due to the density of honey, no fungus or bacteria could grow in the wound.
Maboresho makubwa yalionekana katika 22
Dramatic improvements were visible in 22
wagonjwa wasiotibika wa kifua kikuu na ugonjwa wa Alzheimer katika nyumba za wazee nchini Uingereza ambao walitibiwa na Sista Carole, mtawa, kwa propolis, dutu ambayo nyuki huizalisha ili kuziba mizinga yao dhidi ya bakteria.1
incurable chest and Alzheimer's disease patients at nursing Homes in England who were treated by Sister Carole, a nun, with propolis, a substance which bees produce to seal hives against bacteria.1
Mtu anayesumbuliwa na mzio wa mmea fulani anaweza kupewa asali itokanayo na mmea huo ili aweze kujenga kinga dhidi ya mzio huo.
A person suffering from an allergy of a particular plant may be given honey from that plant so that the person develops resistance to that allergy.
Asali pia ina fructose na vitamini K kwa wingi.
Honey is also rich in fructose and vitamin K.
Maarifa yaliyomo katika Qur'an kuhusu asali, asili yake na sifa zake, yaligunduliwa karne nyingi baada ya kuteremshwa kwake.
The knowledge contained in the Qur’an regarding honey, its origin and properties, was discovered centuries after its revelation.
Marejeo ya kauli hii ni kanda ya video iitwayo ‘This is the Truth’. Ili kupata nakala ya kanda hii video, wasiliana na Islamic Research Foundation.
1 The reference for this statment is the video tape titled ‘This is the Truth’. For a copy of this video tape contact the Islamic Research Foundation.