17. Nabii Hizqeel (Ezekiel)
17. Prophet Hizqeel (ezekiel)
Allah Anafufua Wafu
Allah Resurrects the Dead
Mwenyezi Mungu Mtukufu amesema:
Almighty Allah said:
"Je, wewe (Ee Muhammad) hukufikiri kuhusu wale waliotoka majumbani mwao kwa maelfu, wakiogopa kifo? Mwenyezi Mungu aliwaambia, 'Kufeni.' Kisha akawahuisha tena. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye fadhila nyingi kwa watu, lakini watu wengi hawashukuru. (Sura ya 2:243, Qur'ani)."
"Did you (O Muhammad) not think of those who went forth from their homes in thousands, fearing death? Allah said to them, "Die." And then He restored them to life. Truly, Allah is full of Bounty to mankind, but most men think not. (Ch 2:243 Quran).
Mohammad Ibn Ishaaq amesema, akimnukuu Wahb Ibn Munbah, kwamba Allah alipomchukua Kalih Ibn Yofra (Jephtha) baada ya Joshua, Ezekiel Ibn Buzi alimrithi kuwa nabii kwa Wana wa Israeli. Watu walikuwa wamekimbia Palestina kwa kuogopa tauni, wakajikalia katika uwanda wa juu. Allah aliwaambia: