Tableegh Wa Tabyeen
Tableegh Wa Tabyeen
(Uenezaji wa ujumbe wa Qur'ani na ufafanuzi wake)
(Propagation of the Qur'anic message and its exposition)
Mbali na wajibu nne tulizonazo kwa Qur'ani, yaani, kuiamini kuwa ni Kitabu cha Mwenyezi Mungu (SWT), kuisoma, kuifahamu, na kutenda kwa mujibu wa mafundisho yake, kuna wajibu mwingine unaomlazimu kila Muslim na ambao lazima atekeleze kulingana na uwezo wake, nao ni kwamba lazima afikishe mafundisho yake kwa wengine.
Besides the four duties that we owe to the Qur'an, i.e, believing it to be the Book of Allah (SWT), reading it, understanding it, and acting upon its teachings, another duty which rests upm every Muslim and which he must discharge according to his strength and ability, is that he must communicate its teachings to others.
Kwa "kuwasilisha ujumbe wa Qur'an kwa watu," neno linalofaa na lenye kujumuisha yote ni tableegh. Kuwafundisha wengine Qur'an pia ni aina ya tableegh. Vilevile, kuwafafanulia watu maana za Qur'an ni tableegh katika kiwango cha juu zaidi.