Sababu Za Kuukubali Uislamu
Reasons To Embrace Islam
❖ Wale wanaosilimu wataingia Peponi. Mtume Muhammad ﷺ alisema: “Yeyote atakayesema kwa dhati kutoka moyoni mwake, ‘Hakuna mwenye haki ya kuabudiwa isipokuwa Allah,’ ataingia Peponi.”.
❖ Those who embrace Islam will enter Paradise. Prophet Muhammad (peace be upon him) said: “Whoever says sin cerely from his heart, “Nothing has the right to be worshipped ex cept Allah,” will enter Paradise.”.
❖ Wale wanaosilimu husamehewa dhambi zao zote zilizopita. Nabii Muhammad ﷺ alisema: “Uislamu hufuta kila kilichotangulia kabla yake.”.
❖ Those who embrace Islam are forgiven of all past sins. Prophet Muhammad (peace be upon him) said: “Islam wipes away everything that came before it.”.
❖ Uislamu unakuwezesha kuwa na uhusiano wa moja kwa moja na Mungu.
❖ Islam enables you to have a direct connection with God.
Mwenyezi Mungu amesema katika Qur'ani: "Na waja Wangu wakikuuliza juu Yangu, hakika Mimi nipo karibu. Namjibu muombaji anaponiomba." (Qur'ani, Sura 2, Aya 186)