Qur'an Tukufu
The Noble Quran
Qur'ani ni Kitabu kinachosomwa na Waislamu. Ni neno la Mungu na ufunuo wa mwisho; lilishushwa kwa Nabii Muhammad ﷺ kwa lugha ya Kiarabu zaidi ya miaka 1400 iliyopita. Herufi moja haijabadilishwa, kuondolewa wala kuongezwa. Hakuna matoleo tofauti ya Qur'ani. Kwa sababu hiyo, Qur'ani inayopatikana msikitini nchini China ni ile ile inayosomwa msikitini Amerika Kusini. Qur'ani inajikita katika mambo matatu ya msingi:
The Quran is the Book read by Muslims. It is the word of God and the final revelation; sent to Prophet Muhammad (peace be upon him) in the Arabic language over 1400 years ago. Not a single letter has been altered, subtracted or added. There are not different versions of the Quran. For this reason, a Quran found in a mosque in China is the same Quran read in a mosque in South America. The Quran centers around three fundamental matters:
1. Elimu kuhusu Umoja wa Mwenyezi Mungu, na mambo ya itikadi.
1. Knowledge about the Oneness of Allah, and affairs of doctrine.
2. Amri za kutenda mema, na makatazo ya kujiepusha na maovu.
2. Commands toward good, and prohibitions from evil.
3. Maarifa kuhusu uumbaji, ikijumuisha hadithi za manabii na umma zao, mwanzo wa uumbaji, na Akhera.
3. Knowledge about the creation, to include stories of the prophets and their nations, the beginning of creation, and the Afterlife.
Tafsiri ya maana ya Qur'an imetafsiriwa katika lugha nyingi. Tafsiri bora zaidi na inayosambazwa zaidi kwa Kiingereza ni The Noble Quran, iliyotafsiriwa na Dkt. Hilali na Muhsin Khan.
The meaning of the Quran has been translated into numerous lan guages. The best, most widely distributed, English translation is The Noble Quran, translated by Dr. Hilali and Muhsin Khan.