Uchambuzi wa Sura ya 23, Aya ya 12 – 14
Analysis Of Chapter 23 Verses 12 – 14
Qur'ani inatoa maelezo mafupi na yenye ufasaha kuhusu kiinitete cha binadamu kinavyokua.
The Qur’an provides a concise and eloquent account of the developing human embryo.

Hakika Sisi tulimuumba binadamu kutokana na udongo wa mfinyanzi, kisha tukamweka kuwa tone la manii katika mahali pa salama. Kisha tukalifanya tone hilo kuwa kitu kinachoshikamana, kisha tukakifanya kitu hicho kuwa kipande cha nyama, na tukaifanya ile nyama kuwa mifupa, kisha tukaifunika ile mifupa kwa nyama, kisha tukamtoa katika umbo jingine. Utukufu ni wa Mwenyezi Mungu, Mbora wa waumbaji. 26
We created man from an essence of clay, then We placed him as a drop of fluid in a safe place. Then We made that drop of fluid into a clinging form, and then We made that form into a lump of flesh, and We made that lump into bones, and We clothed those bones with flesh, and later We made him into other forms. Glory be to God the best of creators. 26