Uislamu Na Ustaarabu
Islam And Civilization
"Je, mnataka turudi enzi za watu kuishi katika hema -miaka elfu moja iliyopita? Uislamu ulikuwa sawa kwa Waarabu wa jangwani walio washenzi na wasiostaarabika, kwa sababu ulikuwa rahisi vya kutosha kuwavutia na kuwavuta. Lakini je, ustaarabu unaojengwa juu ya dhana ya Mungu utakuwa na manufaa yoyote katika dunia ya leo, zama za ndege za kasi ya sauti, mabomu ya hidrojeni na sinema? Hauwezi kwenda sambamba na ustaarabu ulioendelea wa leo, kwani umetuama; kwa hiyo hatuna njia nyingine isipokuwa kuutupilia mbali ikiwa tunataka kuwa wastaarabu na kuendelea kama dunia nyingine yote."
“Do you want us to go back to the age when people lived in tents -a thousand years ago? Islam was all right for those savage and uncouth Bedouins of the desert, for it was simple enough to appeal to and attract them. But will a civilization based on the concept of God be of any use in the world of today, the age of supersonic planes, hydrogen bombs and movie cinemas. It cannot keep up pace with the advanced civilization of today, for it is static and, therefore, we have no other course but to shake it off if we are to become truly civilized and advanced like the rest of the world".