Ufafanuzi wa Siyaam (kufunga)
Definition Of Siyaam (fasting)
(1) Swawm kwa Kiarabu linamaanisha kujizuia; katika Uislamu linamaanisha kujizuia na vitu vinavyoharibu funga, kuanzia alfajiri hadi machweo, baada ya kuwa tayari umeweka nia (niyyah) ya kufunga.
(1) Siyaam in Arabic means abstaining; in Islam it means abstaining from things that break the fast, from dawn until sunset, having first made the intention (niyyah) to fast.
Hukumu ya kufunga.
Ruling on fasting.
(2) Umma imekubaliana kwamba kufunga mwezi wa Ramadhani ni wajibu, na dalili yake ipo katika Qur-aan na Sunnah. Allaah anasema (tafsiri ya maana):
(2) The ummah is agreed that fasting the month of Ramadaan is obligatory, the evidence for which is in the Qur’aan and Sunnah. Allaah says (interpretation of the meaning):