3 Kukanusha Mbinu ya Fikra za Kimagharibi
3 Refuting The Method of Western Thinking
Mada ya kupinga mbinu ya fikra ya Magharibi ni mada ya jinsi Magharibi inavyozalisha fikra, bila kujali fikra hizo ni zipi. Hii inajumuisha mada ya jinsi na kutoka wapi Magharibi inapata fikra zake, yaani inajumuisha mada ya mbinu inayotumika kufikia maarifa yoyote. Pia inajumuisha chanzo na utegemezi wa fikra hiyo. Kama ilivyofafanuliwa awali, Magharibi inajionesha kama kinara wa mbinu za kiakili na za kisayansi. Kwa hiyo mbinu yake ya kufikiri imejengwa juu ya vipengele hivi viwili: Uakili (Rationalism) na Sayansi.
The subject of refuting the method of the Western thinking is the subject of how the West generates thoughts, regardless of whatever the thoughts are may be. This includes the subject of how and where from the West derives its thought i.e. this includes the subject of the method taken to arrive at any knowledge. This also includes the source and dependency of the thought. As clarified earlier, the West presents itself as a pioneer of rational and scientific methods. Thus its method of thinking is based on these two elements: Rationalism and Science.