3 Je, Uislamu ni tishio au manufaa?
3 Is Islam a Threat or Benefit?
Na hatukukutuma wewe (Ee Muhammad) isipokuwa uwe rehema kwa walimwengu.
And We have sent you (O Mohammad) not but as a mercy for the mankind.
Qur'ani 21:107
—Quran 21:107
Msingi wa khilafah mpya ya Kiislamu utaenea kote Mashariki ya Kati, na jambo hilo lingetishia serikali halali barani Ulaya, Afrika na Asia pamoja na maslahi ya Marekani.
The base of a new Islamic caliphate will extend throughout the Middle East, and which would threaten legitimate governments in Europe, Africa, and Asia and US interests.
—Rumsfeld, aliyekuwa Katibu wa Ulinzi: Naamini kwamba iwapo mtu kama Muhammad ﷺ angechukua madaraka ya kiimla ya dunia ya leo, angefanikiwa kutatua matatizo yake kwa namna ambayo ingeileta dunia amani na furaha inayohitajika sana.
—Rumsfeld, former secretary of defense I believe that if a man like Mohammad were to assume the dictatorship of the modern world, he would succeed in solving its problems in a way that would bring it the much-needed peace and happiness.
Bernard Shaw
—Bernard Shaw