1 Maana ya Ustaarabu (Hadhara)
1 The Meaning of Civilisation (Hadhara)
Ustaarabu (hadhara) ni mkusanyiko wa dhana kuhusu maisha.
A civilisation (hadhara) is a collection of concepts about life.
Ustaarabu unaweza kuwa wa kiroho wa kimungu (deeniyya ilahiyya) au wa kibinadamu (wadh'iyya bashariyya). Ustaarabu wa kiroho wa kimungu hutokana na itikadi ('aqeedah), kama vile ustaarabu wa Kiislamu unaotokana na 'aqeedah ya Kiislamu. Kuhusu ustaarabu wa kibinadamu, unaweza kutokana na itikadi, kama vile ustaarabu wa Kimagharibi wa Kibepari, ambao ni mkusanyiko wa dhana kuhusu maisha zinazotokana na itikadi ya kutenganisha dini na maisha. Au unaweza usitokane na itikadi, kama vile ustaarabu wa Kishinto, Kigiriki, Kibabiloni na Kiashuru. Ustaarabu huu ni mkusanyiko wa dhana ambazo watu fulani au kundi la watu wamekubaliana juu yake, hivyo ni ustaarabu wa kitaifa (sh'abiyya) au wa kibinadamu.
Civilisation could be a spiritual divine one (deeniyya ilahiyya) or man-made (wadh'iyya bashariyya). The spiritual divine civilisation emanates from a doctrine (‘’’aqeedah); like the Islamic civilisation that emanates from the Islamic ‘’aqeedah. As for the man-made civilisation, either it emanates from a doctrine like the Capitalist Western civilisation that is a collection of concepts about life emanating from the doctrine of separating religion from life. Or it does not emanate from a doctrine like the Shinto, Greek, Babylonian and Assyrian civilisations. This civilisation is a collection of concepts that a people or a group of peoples agreed upon so it is a national (sh'abiyya) or man-made civilisation.