"Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi, ambaye amewaumba kutoka nafsi moja (Adamu), na kutoka kwake akamuumba mkewe (Hawa), na kutoka kwao wawili akaeneza wanaume wengi na wanawake" [An-Nisaa: 1] Sharia za takalifu za kidini (Takaleef shariyya) zimewekwa juu ya msingi huu, na kwa mujibu wake, haki na wajibu wa wanaume na wanawake vimepangwa. Pale haki na wajibu vinapokuwa kwa binadamu, yaani majukumu ya kidini (Takaleef) yanayomhusu mwanadamu kwa sifa yake ya kuwa binadamu, basi utakuta usawa katika haki hizi na wajibu hizi, yaani utakuta usawa katika amri za kidini (Takaleef). Hivyo basi, haki na wajibu vitakuwa kwa wote, na vimepewa wanaume na wanawake wote kwa pamoja, bila tofauti wala ubaguzi. Kwa hiyo, utaona kwamba Uislamu haukuwabagua wanaume na wanawake pale ulipowalingania watu kwenye Imani. Pia haukuwabagua wanaume na wanawake katika amri ya kubeba wito wa Uislamu. Uliyafanya masharti yanayohusu ibada kama Swala, Saumu, Hijja na Zaka kuwa sawa katika wajibu wake wa kisheria. Pia ulifanya maelezo ya sifa za kimaadili yaliyokuja katika kanuni za Sharia kuwa maadili kwa wanaume na wanawake bila kutofautisha, na ukafanya kanuni za miamala ya kijamii (Mu’amalat) kama kununua, kukodisha, uwakala, ulezi na miamala mingine ya kijamii inayohusu binadamu, kuwa ni ile ile kwa wanaume na wanawake. Na uliweka adhabu kwa kukiuka sheria za Mwenyezi Mungu (swt) kama adhabu zilizoainishwa (Hudud), sheria za jinai (Jinayat) na adhabu za hiari (Ta'zeer) kwa wanaume na wanawake bila ubaguzi katika sifa yao ya kuwa binadamu. Zaidi ya hayo, Uislamu ulifanya kujifunza na kufundisha kuwa wajibu kwa Waislamu bila tofauti kati ya wanaume na wanawake. Basi kwa namna hii, Mwenyezi Mungu (swt) ameweka sheria zote zinazohusu binadamu kwa sifa yao ya kuwa binadamu, zikiwa ni zilezile kwa wanaume na wanawake bila ubaguzi. Kwa hiyo, amri kutoka mtazamo huu ni zile zile, na haki na wajibu pia ni vile vile. Aya na Hadithi zilizopo kuhusu kanuni kama hizo zimekuja kwa ujumla ('Aam) na jumuishi (Shaamil) kwa binadamu kwa kuwa ni binadamu, na kwa waumini kwa kuwa ni waumini. Kwa hakika, aya nyingi zinabainisha kwamba takleef (dhima ya kisheria) ni kwa mwanaume na kwa mwanamke. Allah (SWT) amesema:
“Oh mankind! Be dutiful to your Lord, Who created you from a single person (Adam), and from Him created his wife (Eve), and from them both He created many men and women” [An- Nisa: 1] The Shari'ah commandments (Takaleef shariyya) have been legislated upon this basis, and according to it, the rights and obligations of men and women have been assigned. When the rights and obligations are for the human, i.e. the obligations (Takaleef) which relate to man in his capacity as a human, then you will find equivalence in these rights and obligations, i.e. you will find the equivalence in the commandments (Takaleef). Thus, the rights and obligations will be for all, and assigned to all men and women as one, without difference or disparity. Hence, you will find that Islam did not differentiate between men and women when it invited people to the Iman (belief). It did not also differentiate between men and women in the commandment of carrying the call to Islam. It made the commandments relating to worships such as prayer, fasting, Hajj and Zakat the same in terms of their legal obligation. It made as well the description of the moral characteristics which have come in the Shari'ah rules as morals for men and women without distinction and made the rules of societal transactions (Mu’amalat) such as buying, renting, representation, guardianship and other such societal transactions relating to mankind, the same for men and women. And it imposed punishments for breaching the rules of Allah (swt) such as the determined punishments (Hudud), criminal laws (Jinayat) and discretional chastisements (Ta'zeer) on men and women without discrimination in their capacity as humans. In additon Islam made learning and teaching an obligation for Muslims with no difference between men and women. So, in this manner Allah (swt) has legislated all the rules pertaining to humans in their capacity as humans, the same for men and women without distinction. So, the commandments from this perspective are all the same, and the rights and obligations are also the same. The verses and Ahadith which are found with regards to such rules have come as general ('Aam) and inclusive (Shaamil) for humans in their capacity as humans, and for the believers in their capacity as believers. Indeed, many verses stipulate that the legal obligation (Takleef) is for the male and for the female. Allah (swt) said: