3 Malengo ya Jumla ya Elimu katika Dola ya Khilafah
3 General goals of education in the khilafah state
Kuna malengo mawili makuu ya elimu ambayo lazima yazingatiwe wakati wa kuweka mbinu na masomo ya elimu:
There are two leading goals of education that must be observed when setting the method and subjects of education:
Kujenga haiba ya Kiislamu, akili na mwelekeo wa nafsi (nafsiyyah) wa watoto wa Ummah kwa kupandikiza utamaduni wa Kiislamu—'aqeedah, mawazo na tabia—katika akili na nafsi za wanafunzi. Kwa hiyo, wale walioidhinishwa katika Dola ya Khilafah wanapaswa kuwa makini katika kuweka na kutekeleza mbinu za kufikia lengo hili.
Building the Islamic personality, the intellect and disposition (nafsiyyah), of the Ummah’s children via implanting the Islamic culture—’aqeedah, thoughts and behaviour—into the students’ intellects and disposition. Accordingly care must be taken by those authorised in the Khilafah State to set and implement methods to achieve this goal.
Kuwaandaa watoto wa Kiislamu ili baadhi yao wawe wanazuoni wenye utaalamu katika kila nyanja ya maisha, iwe ni katika elimu za Kiislamu (Ijtihad, Fiqh, Mahakama n.k.) au elimu za kimaumbile (Uhandisi, Kemia, Fizikia, Tiba n.k.). Wanazuoni wenye uwezo wa kubeba Dola ya Kiislamu na Ummah mabegani mwao, ili wapate nafasi ya uongozi miongoni mwa mataifa na nchi za dunia, na Khilafah iwe Dola inayoongoza na yenye ushawishi kwa msingi wa itikadi yake, na si Dola tegemezi au wakala katika fikra au uchumi wake.
Preparing Muslim children such that some become scholars with expertise in every field of life whether in Islamic sciences (Ijtihad, Fiqh, Judiciary etc) or Empirical sciences (Engineering, Chemistry, Physics, Medicine etc). Scholars who are able to carry the Islamic State and Ummah upon their shoulders so as to gain the leading position among the world’s nations and states, such that the Khilafah becomes a leading and influential State based upon its ideology, and not a subordinate or agent State in its thought or economy.