4 Mbinu Batili
4 The Invalid Methods
Lakini hapana, (naapa) kwa Mola wako! Hawana Imani mpaka wakufanye wewe (Ee Nabii) kuwa hakimu katika mizozo yao yote, kisha wasione chuki yoyote katika nafsi zao kuhusu hukumu yako, na wakisalimu kikamilifu kwa hukumu hiyo.
“But no, (I swear) by your Lord! They have no Iman until they make you (O Prophet) the judge in all their disputes and then they find no resentment in their souls regarding your judgement and they utterly submit to it” (TMQ al-Nisa’a, verse 65)
Mbinu Batili
The Invalid Methods
Kabla ya kujadili mbinu iliyo sahihi, inayotokana na Ijtihad sahihi, katika kufanya kazi ya kurejesha Khilafah, ni muhimu kuonyesha mbinu za uongo zilizopo leo ambazo baadhi ya Waislamu wanazifuata. Mbinu hizo ambazo hazitokani na Ijtihad sahihi ni pamoja na mbinu ya hatua kwa hatua (gradualism), wakati zile zinazotokana na ushahidi wa kuonekana tu (Shubhat Daleel) ni pamoja na kupigana na viongozi waliopo sasa. Kupitia hili, mtu ataona kwamba kuna haja ya dharura ya kueleza mbinu sahihi.
Before the method based upon a correct Ijtihad in working to re-establish the Khilfah is discussed, it is important to highlight the false methods that exist today that are carried by some Muslims. Those methods that are not based upon a correct Ijtihad include gradualism, whilst those that are based upon a semblance of evidence (Shubhat Daleel) include fighting the present leaders. Through this, one will see that there is a pressing need to illustrate the correct method.