5.3 Mbinu ya Mitume katika kuanzisha Dola ya Kiislamu
5.3 The Prophets’ methodology for establishing the Islamic State
Nabii ﷺ alianzisha Dola ya kwanza ya Kiislamu huko Madina, baada ya hapo Abu Bakr (ra) akawa Khalifa, akifuatiwa na ‘Umar (ra), ‘Uthman na ‘Ali (ra). Khilafah hii iliendelea kuwepo katika miaka elfu moja mia tatu iliyofuata hadi ilipoangamizwa tarehe 3 Machi 1924.
The Prophet (saw) established the first Islamic State in Madinah after which Abu Bakr (ra) became the Khaleefah followed by ‘Umar (ra), ‘Uthman and ‘Ali (ra). This Khilafah continued to exist throughout the next thirteen hundred years until its destruction on the 3rd of March 1924.
Kwa hiyo, kinachohitajika ni kupata mbinu kutoka kwenye vyanzo vya Kiislamu vilivyopo, ambavyo katika kesi hii ni Sunnah ya Mtume ﷺ, kwa kuelewa Siera ya Mtume ﷺ kwa mtazamo wa kisheria. Kisha ni kuiga yale matendo ambayo alifanya ﷺ katika kutekeleza wajibu wake wa kuishi maisha ya Kiislamu kwa vitendo.
Hence what is required is to derive the methodology from the Islamic sources that are available which in this instance is the Sunnah of the Prophet (saw) through understanding the Seerah of the Prophet (saw) from a legal perspective. Then to emulate those actions which he (saw) undertook as part of fulfilling his obligation in assuming the Islamic way of life in the practical sense.