Madhehebu ya Al-Awzaa'ee
The Awzaa’ee Madh-hab
Mwanzilishi: Imamu Al-Awzaa'ee (708-774 CE)
The Founder: Imaam Al-Awzaa’ee (708-774 CE)
Madhehebu haya yamepewa jina la mwanazuoni wa Kisyria ‘AbdurRahman ibn al-Awzaa’ee, aliyezaliwa Ba’labek mwaka 708.
This Madh-hab is named after the Syrian scholar ‘AbdurRahman ibn al-Awzaa’ee who was born in Ba’labek in the year 708
CE. Alijulikana kama mmoja wa maimamu wakuu wa Hadith wa karne ya nane CE, na alipinga matumizi ya kupita kiasi ya Qiyaas na aina nyinginezo za kufikiri pale ambapo maandiko wazi kutoka katika Qur'aan na/au Sunnah yalipokuwepo. Imaam Awzaa'ee alitumia sehemu kubwa ya maisha yake huko Beirut, hatimaye akafariki huko mwaka 774 CE, lakini Madh-hab yake ilienea sana nchini Syria, Jordan, Palestina na Lebanon, pamoja na Uhispania.
CE. He became known as one of the major scholars of Hadeeth of the eighth century CE and was opposed to the excessive use of Qiyaas and other forms of reasoning in cases where clear texts from the Qur’aan and or Sunnah were available. Imaam Awzaa’ee spent most of his life in Beirut, eventually dying there in the year 774 CE, but his Madh-hab became widespread in Syria, Jordan, Palestine and Lebanon as well as in Spain.