Dalili za Hija Iliyokubaliwa
Signs Of An Accepted Hajj
Wanazuoni wamesema kuwa dalili za Hijja iliyokubaliwa ni:
Ulema have stated that the signs of an accepted Hajj are:
1.) Mtu huwa mcha Mungu zaidi.
1.) A person becomes more Allaah- conscious.
2.) Anakuwa mwenye kudumu katika kutekeleza Swalah.
2.) He becomes regular in performing Salaat.
3.) Upendo wa dunia unapungua.
3.) Love for the world decreases.
4.) Upendo wa Akhera unaongezeka.
4.) Love for the Aakhirat increases.
5.) Upendo na heshima kwa alama za Dini huongezeka – Sunnah, Maulamaa, Qur'ani, Misikiti n.k.
5.) Love/ respect for the ‘symbols’ of Deen increases – Sunnat, Ulema, Quraan, Masjids etc.
6.) Mtu hutamani kurudi kwenye maeneo yaliyobarikiwa.
6.) One yearns to go back to the Blessed places.
7.) Mtu huepuka haramu.
7.) One avoids Haraam.
8.) Mtu anakuwa mkarimu.
8.) One becomes generous.
9.) Mtu huepuka marafiki wabaya.
9.) One avoids evil company.
10.) Mtu huongeza dhikri ya Allah.
10.) One increases the Zikr of Allaah.
Mufti Afzal Hoosen Elias 1424/ 2004
Mufti Afzal Hoosen Elias 1424/ 2004