Hatua ya 2: Kabla ya Hijja
Stage 2: Before Hajj
Kutoka Johannesburg kwenda Jeddah, kisha kukaa Madinah, kisha kwenda Makkah kufanya Umrah, na kukaa kabla ya siku 5 za Hajj.
Johannesburg to Jeddah and stay in Madinah then to Makkah then Umrah and stay before 5 days of Hajj.
Hatua ya 2 inaweza kugawanywa katika sehemu 5:-
Stage 2 can be divided into 5 parts:-.
1.) Johannesburg/ Durban/ Cape Town hadi Jeddah au kwa kusimama njiani kisha Jeddah.
1.) Johannesburg/ Durban/ Cape Town to Jeddah or with a stopover then Jeddah.
2.) Kwenda Madinah na kuishi humo.
2.) To and in Madinah.
3.) Kwenda Makkah.
3.) To Makkah.
4.) Umrah.
4.) Umrah.
5.) Kukaa Makka kabla ya siku tano za Hajj.
5.) Stay before 5 days of Hajj.