**25 Katiba: BUNGE LA UMMAH (Majlis al-Ummah)**
25 Constitution: THE UMMAH ASSEMBLY (Majlis al-Ummah)
Kifungu cha 101.
Article 101.
Wajumbe wa Majlis al-Ummah ni wale watu wanaowawakilisha Waislamu katika kutoa maoni yao kwa Khalifa wanapoombwa ushauri. Wasio Waislamu wanaruhusiwa kuwa wajumbe wa Majlis al-Ummah ili waweze kuwasilisha malalamiko yao kuhusu vitendo vya dhulma vinavyofanywa na watawala, au matumizi yasiyo sahihi ya sheria za Kiislamu.
The members of the Majlis al-Ummah are those people who represent the Muslims in respect of expressing their views to the Khaleefah when consulted. Non-Muslims are allowed to be members of the Majlis al-Ummah so that they can voice their complaints in respect to unjust acts performed by the rulers or the misapplication of the Islamic laws.
Kifungu cha 102.
Article 102.
Wajumbe wa Majlis al-Ummah wanachaguliwa na wananchi.
The members of the Majlis al-Ummah are elected by the people.