Kutofanya Hijja Ilhali Una Uwezo wa Kuifanya
Not Performing The Hajj When Able To
Allah, Mwenye Enzi Kuu, anasema: {Hija kwenda huko ni wajibu wa watu kwa Allah, kwa wale wanaoweza kupata njia ya kufika huko; na mtu yeyote akikataa imani, basi Allah hana haja na viumbe vyake.} (Al-Imraan: 97)
Allah, the Most High, says, {Pilgrimage thereto is a duty, men owe to Allah those who can afford the journey; but if any deny faith, Allah stands not in need of any of his creatures.} (Al-Umran: 97)
Mtume ﷺ alisema: "Yeyote mwenye uwezo wa kufanya safari hii kwenda Nyumba Tukufu, kwa kuwa na chakula cha safari na usafiri, halafu asifanye hijja, basi hakuna lawama iwapo atakufa akiwa Myahudi au Mkristo. Hii ni kwa sababu Allah anasema: {Hijja kwenye Nyumba ni wajibu wa watu kwa Allah, wale wenye uwezo wa kufika huko.}"1
The Prophet (pbuh) said, "Whoever can afford this journey to the sacred House, by provision and transportation and he does not make the pilgrimage, there is no blame if he dies as a Jew or a Christian. This is because Allah says, "Pilgrimage thereto is a duty men owe to Allah -those who can afford the journey.”1