7. Kiambatisho
7. Appendix
VYOMBO VYA KIFEDHA VYA KIBEPARI
CAPITALIST FINANCIAL INSTRUMENTS
Tumejumuisha kiambatisho hiki kwa wale wanaovutiwa hasa na masuala ya fedha. Wale ambao wamejaribu tu kuiga mifumo ya Magharibi ya kujenga utajiri watafaidika kwa kusoma muhtasari huu mfupi, unaohusu si tu baadhi ya bidhaa kuu zilizokuwa kiini cha mgogoro huo, bali pia mitazamo ya serikali kuhusu bidhaa hizo.
We have included this appendix for those with a particular interest in finance. Those who have simply sought to emulate western models of wealth creation would do well to look at this brief overview of not just some of the main products at the centre of the crisis, but also the government attitudes towards them.