1.1 Fiqh
1.1 Fiqh
Kilugha, Fiqh inamaanisha ufahamu (Fahm), kama katika kauli ya Allah (SWT):
Linguistically, Fiqh means understanding (Fahm), as in the saying of Allah (swt):
"Hatuelewi (ma nafqahu) mengi ya unayoyasema." (TMQ Hud: 91) yaani, hatufahamu.
“We do not comprehend (ma nafqahu) much of what you say.” (TMQ Hud: 91) i.e. we do not understand.
Kama istilahi ya kisheria, Fiqh lina maana mbili:
As a juristic term, Fiqh has two meanings:
A. Wanazuoni wa Usul kama vile Amidi, al-Zarkashi, al-Baydawi na Shawkani wamefafanua fiqh kuwa ni, „elimu ya masuala ya kiutendaji ya Shari‟ah yanayotokana na ushahidi wake wa kina (al-ad‟Illah al-tafsiliyyah)‟.1
A. The Usuli scholars such as Amidi, al-Zarkashi, al-Baydawi and Shawkani have defined fiqh as, „the knowledge of the practical Shar‟ai matters that are derived from their elaborated evidences (al-ad‟Illah al-tafsiliyyah)‟.1