12.3 Je, Sharia Inawahusu Wasio Waislamu?
12.3 Does the Shariah Apply on Non-Muslims?
Allah (SWT) anasema:
Allah (swt) says:
“Hatukukutuma wewe ila kuwa ni rehema kwa walimwengu.” (TMQ al-Anbiya: 107)
“We have sent you not but as a mercy for all creatures.” (TMQ al-Anbiya: 107)
{Na hatukukutuma ila kwa watu wote uwe mbashiri na mwonyaji, lakini watu wengi hawajui.} (TMQ Saba: 28)
“We have sent you but as a Messenger to all mankind, giving them glad tidings, and warning them against sin, but most men know not.” (TMQ Saba: 28)
Aya hizi zinaeleza wazi kabisa kwamba Mtume (ﷺ) alitumwa kwa ajili ya ubinadamu wote, wala si kwa Waislamu peke yao. Zaidi ya hayo, Mtume (ﷺ) alitekeleza Uislamu kwa wasiokuwa Waislamu katika Dola ya Kiislamu. Hivyo, wasiokuwa Waislamu walikuwa chini ya mfumo uleule wa Kiislamu wa utawala, uchumi, adhabu na taratibu za kimahakama kama Waislamu walivyokuwa, bila ubaguzi wowote. Hata hivyo, kutekeleza Swala, Saumu, na ibada nyinginezo kunakubaliwa kutoka kwa Waislamu tu, kwa kuwa sharti la kutekeleza vitendo hivi vya „Ibadah (ibada) ni kuwa Muslim.
These Ayahs are very clear that the Prophet (saw) was sent for the whole humanity and not just for the Muslims. Furthermore, the Prophet (saw) applied Islam on the non-Muslims in the Islamic State. Thus, the non-Muslims were subjected to the same Islamic system of ruling, economics, punishments and judicial processes as Muslims were without any discrimination. However, the performance of prayer, fasting, etc. is only accepted from the Muslims since the prerequisite for performing these acts of „Ibadah (worship) is to be a Muslim.
Hatimaye, kwa mujibu wa Uislamu, wasiokuwa Waislamu wanaruhusiwa kutekeleza dini yao wenyewe, pamoja na mambo ya ndoa na talaka kwa mujibu wa imani zao. Aidha, wanashughulikiwa katika mambo ya chakula na mavazi kwa mujibu wa dini yao, ndani ya kanuni za Shari‘ah.
Finally, based on Islam, the Non-Muslims are allowed to practice their own religion, marital, divorce affairs according to their beliefs. Furthermore, they are treated in the matters of food and clothing according to their religion, within the rules of the Shari‟ah.