7.2 Ijmaʿ al-Mujtahideen
7.2 Ijma‟ al Mujtahideen
Ijma‟ al Mujtahideen unafafanuliwa kuwa ni makubaliano ya kauli moja ya Mujtahidina (wale wanaofanya juhudi za kutoa Ahkaam) wa jamii ya Waislamu katika zama yoyote baada ya kufariki kwa Nabii Muhammad ﷺ. Wanaounga mkono Ijma‟ al Mujtahideen wametumia Daleel ile ile inayotumika kwa Ijma‟ al Ummah. Kwa hiyo hoja zile zile zinatumika pia kwa Ijma al Mujtahideen.
Ijma‟ al Mujtahideen is defined as a unanimous agreement of the Mujtahideen (those who exert their efforts to extract the Ahkaam) of the Muslim community of any period following the death of the Prophet (saw). The proponents of Ijma‟ al Mujtahideen have used the same Daleel, which is used for Ijma‟ al Ummah. Thus the same arguments would apply to Ijma al Mujtahideen.