7.1 Ijmaʿ al-Ummah
7.1 Ijma‟ al Ummah
Katika zama zilizopita na za sasa, baadhi ya Ulamaa wamechukua Ijma'ul Ummah kuwa chanzo cha sheria, na imefafanuliwa kuwa ni makubaliano ya Ummah ya Muhammad ﷺ juu ya jambo wakati wowote, zamani, sasa, au baadaye. Aya moja, ambayo mara nyingi zaidi inanukuliwa kama uungwaji mkono wa Ijma'ul Ummah, ni katika Surat an-Nisaa: 115.
In the past and present, some Ulema have taken Ijma‟ al Ummah as a legislative source and it has been defined as the agreement of the Ummah of Muhammad (saw) on a matter at anytime, past, present, or future. The one Ayah, which is most frequently quoted in support of Ijma‟ al Ummah, is in Surah al-Nisa: 115.
"Na yeyote atakayejitenga na Mtume baada ya uongofu kumdhihirikia, na akafuata njia isiyokuwa ya waumini, tutamwacha katika lile alilolichagua, na tutamwingiza Jahannamu - na ni marejeo mabaya kabisa." (TMQ An-Nisa: 115)
“And anyone who splits off from the Messenger after the guidance has become clear to him and follows a way other than the believers, we shall leave him in the path he has chosen and land him in hell - what an evil refuge.” (TMQ An-Nisa: 115)