7.3 Ijma‟ ya Ahlul Bayt
7.3 Ijma‟ Ahlel Bayt
Baadhi ya Ulamaa wamelifunga Ijma' katika kaya ya Nabii Muhammad ﷺ. Ili kuunga mkono hoja yao, wanarejea ushahidi ufuatao:
Some Ulema have confined Ijma‟ to the household of Prophet Muhammad (saw). In support of their argument, they refer to the following evidence:
"Enyi wake wa Nabii ﷺ... Mwenyezi Mungu anataka kuwatakasa watu wa nyumba (ya Nabii ﷺ) na uchafu (al-Rijis)." (Qur'an Al-Ahzab: 32-33)
“O Wives of the Prophet (saw)... Allah wishes to cleanse the people of the House (of Prophet (saw) of impurities (al-Rijis)” (TMQ Al-Ahzab: 32-33)
Wafuasi wa aina hii ya Ijma‟ wamesema kwamba aya hii ilipoteremshwa, Mtume ﷺ alichukua vazi lake akawafunika Imam Ali (ra), Hussein, Hasan na Fatimah umm Hasan (ra), kisha akasema:
The proponents of this type of Ijma‟ have said that when this Ayah was revealed the Messenger (saw) took his cloak and covered Imam Ali (ra), Hussein, Hasan and Fatimah umm Hasan (ra) and said: