8.2 Ushahidi wa Ijtihad kutoka kwa Ijma' As-Sahabah
8.2 Evidences For Ijtihad From Ijma As-sahabah
Baada ya Mtume (saw), kulikuwa na ijtihadi nyingi na za kina zilizofanywa katika zama za Masahaba. Hata miongoni mwa watu wa kawaida ijtihadi ilikuwa imeenea, na hilo halikuonekana kuwa jambo la ajabu kwa sababu wao ndio Waarabu halisi waliozungumza Kiarabu safi. Siku moja Umar bin Al-Khattab alipokuwa akitoa Khutba alijaribu kupunguza mahari (Mahr), lakini mwanamke mmoja akajibu kutoka nyuma ya safu kwa kunukuu Aya:
After the Messenger (saw) there are numerous and elaborate Ijtihads in the time of the Sahabah. Even amongst the general masses Ijtihad was widespread and that was not considered strange because they were the original Arabs who spoke pure Arabic. Once while giving a Khutbah Umar b. Khattab tried to limit the dowry (Mahr) but a women responded from behind the lines by quoting the Ayah:
"Lakini mkikusudia kumbadilisha mke mmoja kwa mwingine, na mmoja wao mmempa kiasi kikubwa cha dhahabu (Qintar) kuwa mahari, msichukue kwake hata kidogo..." (TMQ An-Nisa: 20)