Al-Burūj (Nyota Kubwa) Kwa jina la Allah, Mwingi wa Rehema, Mwenye kurehemu. Naapa kwa mbingu zenye nyota kubwa, na kwa Siku iliyoahidiwa, na aliyeshuhudia, na kile kinachoshuhudiwa. Wameuawa watu wa Mtaro, wa moto wenye mafuta mengi, walipokuwa wameketi karibu nao, na wao walikuwa wakishuhudia ki - Katika Kivuli cha Qur'ani | Quran Course