Hija Na Umrah
Hajj And Umrah
Hija na Umrah ni faradhi kwa kila Muislamu mwenye akili timamu na aliyebaleghe, mara moja maishani, ikiwa anamiliki uwezo wa kufanya safari ya kwenda Makka.
Hajj and Umrah are Fardh for every sane and adult Muslim once in a lifetime, if one possesses the means to undertake the journey to Makkah.
Mambo Muhimu Katika Hijja
Essential Aspects Of Hajj
1. Kufanya niyya
1. To make intention
2. Kukaa Arafah
2. To stay in Arafah
3. Kufanya Tawaaf
3. To make Tawaaf
4. Kufanya Sa'ee
4. To make Sa’ee
5. Kunyoa au kufupisha nywele za kichwa