Saumu
Sawm
Ni kujizuia kula, kunywa na kufanya mambo yanayoharibu Saumu siku nzima katika mwezi wa Ramadhani, kwa nia ya kufunga.
It is to abstain whole day during the month of Ramadhan with the intention of fasting from all things that invalidate the Sawm.
Nani Anapaswa Kufunga
Who Should Fast
Saumu ni Wajibu kwa kila Muislamu mwenye akili timamu na aliyebaleghe ambaye ana uwezo na ametakasika kutokana na Hedhi na Nifaas.
Sawm is Wajib for every sane and adult Muslim who is capable and cleansed from Haidh and Nifaas.
Wakati Wa Kuanza Kufunga
When To Begin With Fasting
Siku thelathini za mwezi wa Sha’baan zikitimia au mwezi mpya wa Ramadhani ukionekana, Saumu inapaswa kufungwa kuanzia siku inayofuata.