Tayammum
Tayammum
Ni kupangusa uso na mikono yote miwili kwa udongo safi kwa namna maalum. Tayammum ni mbadala wa Wudhuu na Ghusli.
It is to rub the face and both the hands with clean soil in a specific manner. Tayammum is an alternative of Wudhoo and Ghusl.
Mambo Yanayofanya Tayammum Kuwa Halali
Factors That Make Tayammum Permissible
1. Kutokuwepo kwa maji
1. Absence of water
2. Hofu ya kutumia maji (1)
2. Fear of using water (1)
3. Kuwa na uhitaji wa maji hata kwa ajili ya kunywesha mnyama wa nyumbani, ikiwa maji yanatumika
3. Being in need of water even for the drinking of a domestic animal, if water is used