Wajumbe 24 kwa Nchi Jirani
24 Delegates to the Neighbouring Countries
Mara tu Mjumbe wa Allah (ﷺ) alipopata utulivu wa akili kuhusu hali ya Ujumbe ndani ya Hijaz yote, alianzisha Da'wah yake ya kueneza Uislamu bila kuchoka nje ya Hijaz, kwa kuwa Uislamu ni Dini ya kimataifa, na yeye (ﷺ) alitumwa kwa binadamu wote. Allah (SWT) anasema katika Surat al-Anbiyaa':
Once the Messenger of Allah (pbuh) had found his mind at ease about the status of the Message within the whole of Hijaz, he (pbuh) initiated his Da’wah of relentlessly spreading Islam beyond Hijaz, for Islam is a universal Deen and he (pbuh) was sent to the whole of mankind. Allah (swt) says in Surah al-Anbiya’,
"Na hatukukutuma wewe ila uwe ni rehema kwa walimwengu." {Al-Anbiya, 21:107}.
“And We have not sent you but as a Mercy for the ‘Alamin.” [Al-Anbiya, 21:107].
Allah (SWT) pia anasema katika Surat Saba',
Allah (swt) also says in Surah Saba’,
"Wala hatukukutuma wewe isipokuwa kuwa ni mbashiri na mwonyaji kwa watu wote." [Saba’, 34:28].