35 Jihad ya Kubeba Uislamu
35 Jihad to Carry Islam
Utume wa Ummah ya Kiislamu katika maisha haya ni kuufikisha Ujumbe wa Uislamu kwa wanadamu wote. Waislamu walipaswa kuwa na mawasiliano na dunia. Dola ya Kiislamu hivyo ililazimika kutekeleza jukumu hili ambalo Uislamu umeliamuru ili kuufikisha Ujumbe. Ilikuwa jambo lisiloepukika kwamba Dola ingeshinda nchi nyingine na kulitekeleza hili kwa mafanikio makubwa. Ushindi huu haukuwa zaidi ya utekelezaji wa wajibu wa Kiislamu, ambao ni kuufikisha Uislamu kwa watu kwa namna itakayovutia fikra zao, kwa kutekeleza hukumu zake juu yao na kueneza dhana zake miongoni mwao.
The mission of the Islamic Ummah in this life is to carry the Message of Islam to the whole of mankind. The Muslims had to be in touch with the world. The Islamic State was thus obliged to carry out this task which Islam has decreed in order to convey the Message. It was inevitable that the State would conquer other countries and achieve this with great success. These conquests were merely the implementation of an Islamic obligation, which is the conveying of Islam to people in a manner that would catch their imagination by implementing its rules on them and spreading its concepts among them.
Kwa hiyo, ufunguzi wa Kiislamu haukuwa umepangwa kuwanyonya na kuwakoloni watu, wala haukufanywa ili kunufaika na rasilimali za ardhi zao. Lengo pekee lilikuwa kuwafikishia Ujumbe wa Uislamu ili kuwaokoa na maisha ya dhiki waliyoishi na tawala zilizojaa ufisadi zilizokuwa zikiwatawala.