1.2 Tabligh ni Sehemu ya Kufikisha Da'wah
1.2 Tableegh Is Part Of Conveying The Da’wah
Vivyo hivyo, Qur'ani imeeleza da'wah kwa neno "shahaadah" (kutoa ushahidi) dhidi ya watu. Allah amesema:
Similarly, the Qur’an has expressed the da’wah with the term, “shahaadah” (to bear witness) against people. He said:
"Hivyo ndivyo tulivyowafanya ninyi kuwa umma wa kati na kati, ili muwe mashahidi juu ya watu, na Mtume awe shahidi juu yenu." [TMQ 2:143] Mtume ﷺ anasema, "...waumini ni mashahidi wa Allah duniani." [Imepokewa na Ibn Majah]. Mtume ﷺ pia anasema, "Aliyepo (shaahid, yaani anayeshuhudia hili) na amfikishie asiyepo." Vilevile Qur'ani imeeleza da'wah kwa neno "tableegh" (kufikisha). Amesema:
“Thus We have made you a just nation, that you be witnesses against mankind and the Messenger be a witness against you.” [TMQ 2:143] The Messenger says, “...the believers are witnesses of Allah on earth.” [Repoted by Ibn Majah]. The Messenger also says, “Let the one present (shaahid, ie witnessing this) convey it to the one absent.” Likewise the Qur’an has expressed the da’wah with the term, “tableegh” (conveyance). He said:
"Ee Mtume (Muhammad ﷺ)! Fikisha yale yaliyoteremshwa kwako kutoka kwa Mola wako Mlezi. Na usipofanya hivyo, basi hukufikisha Ujumbe Wake."
“O Messenger (Muhammad )! Convey (the Message) which has been sent down to you from your Lord. And if you did not, then you have not conveyed His Message.
"Allah atakulinda kutoka kwa watu" [TMQ 5:67]; na Mtume ﷺ pia amesema: "Nifikishieni kutoka kwangu hata kama ni aya moja." [Reported by Bukhari]
Allah will protect you from mankind” [TMQ 5:67]; and the Messenger also says, “Convey from me even if it is one ayah.” [Reported by Bukhari]