11.5 Sayansi na Teknolojia Si Matokeo ya Ustaarabu wa Magharibi
11.5 Science And Technology Are Not A Result Of The Western Civilisation
Kuna mtazamo kwamba maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia yanayopatikana Magharibi ni matunda ya Demokrasia. Wale wanaounga mkono mtazamo kama huo hawajui ukweli wa jambo hili. Hii ni kwa sababu uvumbuzi unaotokana na majaribio ya kisayansi ni mambo ambayo Allah amemwezesha akili ya binadamu kuyafikia, na hayahusiani na mtazamo fulani wa kiitikadi. Tunaliona hili kwa wafuasi wa ubepari, wa ukomunisti na kwa Waislamu, na kwa kila mtu anayeiacha akili yake isonge mbele kwa uhuru. Hakuna dini wala itikadi yoyote inayokuwa na athari katika hili, isipokuwa kwa mtazamo wa kama itikadi hiyo inaruhusu elimu za kisayansi na kuruhusu matumizi ya akili, au inasimama kama kizuizi kama kanisa lilivyofanya zamani? Inajulikana vizuri kwamba itikadi ya Kiislamu si tu inaruhusu uchunguzi na kuelewa mambo, bali pia inaiwajibisha, kwa upande wa kuandaa nguvu ya kimaada inayohitajika kwa ajili ya kudumisha utawala wa itikadi hiyo.
There is a view that the scientific and technological advancement found in The West is the fruit of Democracy. Those who advocate such a view do not know the facts of this matter. This is because inventions based on scientific experiments are things that Allah has enabled the human mind to achieve and they are not linked to a viewpoint. We see this with capitalists, communists and Muslims, and with anyone who allows his mind to proceed freely. No religion or ideology has any effect in this, except from the perspective of whether the ideology allows sciences and permits the use of the mind, or it stands in the way as the church did before? It is well known that the Islamic ideology not only permits the examination and understanding of things, but also obliges it in terms of preparing the material power that is necessary for the sovereignty of the ideology.
Magharibi wamekuwasilishia bidhaa zao mbaya, kama vile Demokrasia, ambayo Shariah imetukataza kuzichukua, lakini imetuwekea ruhusa ya kuchukua bidhaa zao nyingine, kama elimu za sayansi na uvumbuzi, ambazo Shariah haitukatazi kuzichukua. Hii ni kwa sababu zinatuwezesha kupata nguvu tunazozihitaji. Vitendo vya Magharibi vinaonyesha kwamba inajua inachokifanya. Je, basi, baadhi ya makundi ya Kiislamu yakubali kubaki vipofu kwa jambo hili?
The West has presented to us its evil goods, such as Democracy, which the Shar’a has forbidden us to adopt, but has forbidden us from taking its other goods, such as the sciences and inventions, that the Shar’a does not prohibit us from taking. This is because they allow us to obtain the means of power that we require. The West’s actions indicate that it is aware of what it is doing. So should some of the Islamic groups accept to remain blind to this?
Hii inaonyesha kwamba yule anayesema kwamba Demokrasia inatokana na Uislamu ni mtu ambaye hauelewi Uislamu, wala hauelewi Demokrasia.
This shows that the one who says Democracy is from Islam is a person who does not understand Islam and neither does he understand Democracy.