2.1 Kipengele cha Kwanza: Kushikamana na Ma'aruf na Kujiepusha na Munkar
2.1 The First Aspect: Abiding By The Ma’roof And Abstaining From The Munkar
Mwislamu anatakiwa kuwa na Imani kwa Allah (SWT), kwa Mitume Wake, na kwa 'Aqeedah yote ya Kiislamu; yaani kuamini Allah (SWT), Malaika Wake, Vitabu Vyake, Mitume Wake, Siku ya Mwisho, na al-qadhaa wal-qadar, kwamba mema na mabaya yote yanatoka kwa Allah (SWT), na kuamini kila kilichokuja katika Kitabu na Sunnah kwa uhakika usio na shaka.
The Muslim is required to have Imaan in Allah , His messengers and the whole of the Islamic ‘Aqeedah; ie the belief in Allah , His angels, Books, Messengers, in the Last Day and al-qadhaa wal-qadar, that both good and bad are from Allah , and believe in whatever has come in the Kitaab and Sunnah in a decisive manner.
Hivyo basi, Iymani ni fardhi 'ayni (wajibu wa kibinafsi) kwa kila Muislamu. Anatakiwa kuiamini kwa ujumla, na lazima awe na msingi wake.
Thus, Imaan is fard ‘ayni (a personal obligation) on every Muslim. He is required to believe in it generally and he must have its foundation.