Sharia kwa ujumla inaonyesha kwamba wajibu wa da'wah uwe ni wa kuonyesha uaminifu na kushikamana na njia iliyonyooka; "Sifa zote njema ni za Allah, ambaye amemteremshia mja wake (Muhammad ﷺ) Kitabu, wala hakukiwekea upotovu wowote." [TMQ 18:1]. Allah ametujulisha kwamba makafiri wanataka tufanye maridhiano na kukubaliana nao. Wanataka tuachane na haki na tukubali robo au nusu ya suluhisho. Wanataka kuanza kwa kujaribu kutufanya tufanye kufuru, kama alivyosema ; "Wengi katika watu wa Kitabu (Mayahudi na Wakristo) wanatamani wangekurudisheni kuwa makafiri baada ya kuwa mmeamini, kwa husuda kutoka nafsi zao wenyewe..." [TMQ 2:109], na itaishia kwa kujaribu kuwafanya wakubali kanuni zao, kama alivyosema ; "Wanatamani ufanye maridhiano nao, nao pia wangefanya maridhiano." [TMQ 68:9] "Basi (ewe Muhammad ﷺ) usiwatii wanaokanusha (aya)." [TMQ 68:8]. Mola wetu Mlezi ametuonya dhidi ya kuelekea kwa watu madhalimu; "Wala msielemee kwa wale waliodhulumu, mkaguswa na Moto, wala msiwe na walinzi wengine badala ya Allah, kisha msinusuriwe." [TMQ 11:113] Da'wah ya kweli kwa Imani ya kweli hufanya kushikamana kwa Muislamu kuwe kamili, hata kama alikuwa mgeni katika Uislamu na katika kuufuata. Wajibu wetu, kama wabebaji wa da'wah, si kitu kingine isipokuwa kupandikiza Imani mioyoni mwetu na kujitoa kwa hilo, hadi izae matunda, kwa kushikamana bora kabisa na Taqwa. Dola ya Kiislamu, itakapoanzishwa, haitaanzishwa mikononi mwa watu ambao hawana (dhana zozote za Kiislamu) au wamejaa dhana za Kimagharibi. Haitaanzishwa na watu ambao da'wah haikufanya kazi ndani yao; itakuwa imewaathiri na kuwafanya wailete kwa kukubali. Bali, kama tulivyoeleza hapo awali, Dola lazima ianzishwe juu ya maoni ya umma yanayotokana na mwamko wa jumla, unaokubali wazo la Uislamu na la kutawaliwa nao.
The Sharee’ah in its totality indicates that the obligation of the da’wah be exemplified by honesty and keeping on the straight path; “All the praises and thanks be to Allah, Who has sent down to His slave (Muhammad ) the Book, and has not placed therein any crookedness.” [TMQ 18:1]. Allah informed us that the Kuffar wish that we compromise and be compliant with them. They want us to relinquish the truth, and accept a quarter or a half of the solution. They want to start by trying to make us do kufr, as in His saying; “Many of the people of the Scripture (Jews and Christians) wish that they could turn you away as disbelievers after you have believed, out of envy from their own selves…” [TMQ 2:109], and will end with trying to make us take the rules, as in His saying; “They wish for you to compromise with them, so they (too) would compromise.” [TMQ 68:9] “So (O Muhammad ) obey not the deniers (of the verses).” [TMQ 68:8]. Our Lord has warned us against inclining toward the unjust people; “And incline not toward those who do wrong, lest the Fire should touch you, and have no protectors other than Allah, nor you would then be helped.” [TMQ 11:113] The true da’wah to the true Imaan makes the Muslim’s adherence complete, even if he was new to Islam and to its adherence. Our obligation, as da’wah carriers, is nothing but to implant the Imaan in our hearts and devote ourselves to this, until it bears fruit, with the best adherence and Taqwa. The Islamic State, when it is established, will not be established at the hands of people who are devoid (of any Islamic concepts) or full of western concepts. It will not be established by people in whom the da’wah did not work, it will have influenced them and made them accept it. Rather, as we have stated previously, the State must be established upon a public opinion that emanates from a general awareness, which accepts the idea of Islam and of being ruled by it.