knowledge, kulingana na matakwa yao, au kupotosha ukweli wa Shari'a ili kumridhisha mtawala. Kwa kuwa elimu ya Shari'a ni ma'roof (jambo jema), basi munkar (jambo baya) lake ni; riyaa' (kujionyesha), mapenzi ya uongozi, na kutafuta mambo ya thamani ndogo. Hivyo ndivyo watawala, hasa siku hizi, wanavyowatumia wanazuoni na kuwatumia kwa malengo ya kisiasa, wakiwafanya kuwa mawakala wao. Basi utawaona wakiwamiminia pesa, na kuwawasilisha kwa watu kama wanazuoni wenye heshima, na propaganda kali hufanywa kwa ajili yao, hadi wanakuwa marejeo na mufti kwa watu, na ndio wanaorejewa katika mambo makubwa. Hivyo, hutoa fatwa zinazowafurahisha watawala na kumkasirisha Allah ﷻ. Wanaifanya matini itumike kwa matakwa ya watawala na kuiweka Shari'a mikononi mwao. Hivyo utawaona, watawala wakiruhusu riba, nao pia huiruhusu, na huenda kwenye matini kuzipotosha na kuziwasilisha, kama vile wanavyokusanya mashahidi kuthibitisha usahihi wa wanachotaka. Watawala wakiruhusu kutafuta msaada wa nchi za kikafiri, nao hukubaliana nao. Watawala wakiruhusu amani na Mayahudi, nao huifanya kuwa wajibu. Hawa ni wanazuoni mawakala, ni watu waovu wanaohitaji kunasihiwa. Ummah lazima uchukue hatua zao kwa ukali, na ujitenge nao, wala usijikabidhi kwao kwa gharama ya Shari'a. Watu kama hawa na wenzao wanaonyoosha mikono (ya msaada) kwa watawala kwa gharama ya Shari'a, wanaangukia chini ya kauli ya Mtume ﷺ; "Jambo ninaloogopa zaidi kwa Ummah wangu ni kila mnafiki ambaye ni mzungumzaji mwenye elimu." [Imepokewa na Ahmad]. Watu hawa na wenzao wanahitaji kukemewa hadharani, ili wengine wasiangukie katika mtego wa fatwa zao. Hao ndio waliouza maisha ya dunia kwa Akhera.
knowledge, in accordance with their desires or falsifying the facts of Shar’a to please the ruler. Since knowledge of the Shar’a is a ma’roof, then its munkar is; riyaa’ (showing off), love for leadership, and seeking the cheap matters. Thus, the exploitation by the rulers, especially these days, of the scholars and their use for political objectives and making them agents for them. Thus you see them showering them with money, and presenting them to the people in the form of respected scholars, and strong propaganda is made for them, so they become reference points and muftis for the people, and the ones to whom the people refer in great matters. Thus, they give fatawa that please the rulers and anger Allah . They make the texts subservient to the desires of the rulers and make the Shar’a at their disposal. Hence you see them, if the rulers made usury allowed, so they made it allowed as well, and went to the texts to twist them and present them, the way they gather the witnesses to prove the correctness of what they want. If the rulers allowed seeking the help of the Kaafir states, they agreed with them. If the rulers allowed peace with the Jews, they made it obligatory. These are the agent scholars and they are evil people who need to be advised. The Ummah must treat their action harshly, and break off from them, and she should not be subservient to them at the expense of the Shar’a. Such people and their likes who extend their hands (of help) to the rulers at the expense of the Shar’a, fall under the saying of the Messenger ; “The thing I most fear of upon my Ummah is every hypocrite who is a learned speaker.” [Reported by Ahmad]. These people and their likes need to be publicly denounced, so that others do not fall prey to the snare of their fatawa. Those are the ones who have bought the life of this world with the Hereafter.