Dhambi huiaibisha nafsi
Sins disgrace the self
Dhambi humdhalilisha nafsi na kuigeuza kuwa kiumbe cha hali ya chini kabisa na duni kuliko viumbe vyote, kama vile matendo ya utii kwa Allah ~ yanavyoigeuza kuwa kiumbe cha heshima na sifa zaidi; kwa maana Allah ~ amesema: (Hakika aliyefanikiwa ni yule aliyeitakasa nafsi yake. Na hakika aliyekhasirika ni yule aliyeiharibu nafsi yake) 1 (yaani, aliyefanikiwa ni yule anayemtii na kutekeleza yote aliyoamuru Allah, kwa kufuata dini ya kweli ya Tawhidi ya Kiislamu na kutenda mema; lakini aliyekhasirika ni yule anayeasi aliyoamuru Allah, kwa kukataa dini ya kweli ya Tawhidi au kufuata ushirikina, au kutenda kila aina ya uovu.) Mwenye dhambi hujificha ndani ya dhambi zake na kujistiri, akiepuka kukutana na watu kwa sababu ya matendo yake ya kidhambi. Ama mja mtiifu wa Allah ~ hujihisi ametukuka na mwenye heshima; na hali hii ya heshima inatokana na uchamungu wake.
Sins disgrace the self and tum into the meanest and lowest of all creations, just as acts of obedience to Allah ~ tum it into the most honourable and praiseworthy; for Allah ~ said: (Indeed, he who succeeds is he who purifies his own soul. And indeed he who fails is he who corrupts his own soul) 1 (i.e. the one who succeeds is the one who obeys and performs all that Allah has ordered, by following the true faith of Islamic Monotheism and by doing righteous deeds; but the one who fails is the one who disobeys what Allah has ordered, by rejecting the true faith of Monotheism or by following polytheism, or by doing every kind of evil.) A sinner conceals his/herself in his/her sins and hides; avoiding meeting people because of his/her sinful activities. Whereas an obedient Servant of Allah ~ feels his/herself elevated and honoured; and this state of dignity is due to his/her righteousness.
I Surat Ash-Shams, Aya 109
I Surat Ash-Shams, Verse 109