Dhambi huondoa baraka zote.
Sins erase all benedictions
Dhambi huondoa baraka nyingi maishani: baraka ya riziki, baraka ya elimu, baraka ya kazi, na baraka ya kumtii Allah ~ - Kwa jumla, dhambi huondoa baraka zote za dini ya mtu na za dunia yake. Baraka za ardhi huondolewa tu na dhambi za wanadamu; Allah ~ amesema: ( Lau kwamba watu wa miji wangeamini na wangemcha Mungu, hakika tungewafungulia baraka kutoka mbinguni na ardhini ) na pia amesema ~: ( Lau wangemwamini Allah na kuifuata njia iliyonyooka, tungewapa maji mengi, ili tuwajaribu kwayo ).
Sins erase many blessings in life, the blessing of livelihood: the blessing of knowledge, the blessing of work, and the blessing of obedience to Allah ~ - In total, sins eradicate all blessings of one's religion and one's world. The blessings of the land are eradicated only by the sins of mankind; Allah ~ said: ( If the people of the towns had believed and had piety, certainly, We would have opened for them blessings from the heaven and the earth ) and He ~ also said: ( If they had believed in Allah, and gone the Right Way, We would have bestowed on them water in abundance, that We might try them with) . 2