Madhara yanayotokana na dhambi na maovu
The misfortunes resulting from sins and wrongdoings
Watu wengine na wanyama hupata misiba kwa sababu ya dhambi za mtu mmoja. Abu Hurayrah ~ alisema: "Ndege wa aina ya houbara hufa kwenye viota vyao kwa sababu ya dhulma ya mtenda uovu." Mujahid alisema: "Wanyama huwalaani wenye dhambi miongoni mwa Wana wa Adam wakati wa dhiki na ukame. Husema: Msiba huu ni matokeo ya dhambi za wanadamu." 'Ikrimah alisema: "Wanyama wote, wakiwemo vikomba (mende wa kinyesi) na nge, husema: 'Tunanyimwa mvua kwa sababu ya dhambi za wanadamu.'"
Other people and animals suffer misfortunes because of a person's sins. Abu Hurayrah ~ said: "Bustards die in their nests because of the injustice of the wrongdoer." Mujahid said : "Animals curse the sinners among the Children of Adam in times of hardship and drought. They say: This calamity is the result of the sins of mankind." 'Ikrimah said: "All animals, including dung beetles and scorp10ns say : 'We are denied rain because of the sins of mankind."'