10.3 Wale wanaostahiki kuwa watumishi wa umma
10.3 Those who are eligible to be civil servants
Wale wanaostahili kufanya kazi katika Idara ya Serikali
Those who are Eligible to work in the State’s Department
Mtu yeyote mwenye uraia na mwenye uwezo, awe mwanaume au mwanamke, Muslim au asiye Muslim, anastahili kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa utawala wowote au kuwa mfanyakazi ndani yake. Hii imetokana na kanuni za kuajiri (Ijara), ambapo inaruhusiwa kumwajiri mtu yeyote, awe Muslim au asiye Muslim. Hii ni kwa sababu dalili za kuajiri zimetolewa kwa namna ya jumla. Allah (S.W.T) anasema: .
Anyone who holds citizenship and is competent, man or woman, Muslim or non-Muslim is eligible to be appointed as a director of any administration or to be an employee in it.. This is taken from the rules of hiring (Ijara) where it is permitted to hire any person whether Muslim or non-Muslim. This is because the evidences for hiring are in general form. Allah (S.W.T) says: .