13.6 Muda wa uanachama katika baraza la Ummah
13.6 The term of membership in the Ummah’s council
Muda wa uanachama katika Baraza la Umma ni mdogo. Hii ni kwa sababu Abu Bakr hakuwa amefungwa kushauriana na wale ambao Mjumbe wa Allah ﷺ alikuwa akiwarejea. 'Umar Ibnul Khattab pia hakuwa na wajibu wa kushauriana na wale ambao Abu Bakr alikuwa akiwashauri katika miaka ya mwisho ya utawala wake. 'Umar alitafuta maoni ya watu wengine tofauti na wale aliowashauri katika miaka ya kwanza ya utawala wake. Hii inaonyesha kwamba uanachama katika Baraza la Umma lazima uwe kwa kipindi maalum. Hapa tunakubali kipindi hicho kuwa miaka mitano.
The term of membership to the Council of the Ummah is limited. This is because Abu Bakr was not restricted to consult those to whom the Messenger of Allah (PBUH) used to refer. ’’Umar Ibnul Khattab was also not under obligation to consult those whom Abu Bakr used to consult in the latter years of his rule. ‘Umar sought the opinions of people other than those he had consulted in the first years of his ruling. This indicates that the membership to the Council of the Ummah has to be for a specific period. We adopt here the period to be five years.