13.1 Haki ya shura
13.1 The right of shura
Shura ni haki ya Waislamu wote ambayo Khalifah analazimika kuitekeleza. Wana haki ya kushauriwa, na Khalifah anapaswa kuwarejelea na kuwashauri. Allah (S.W.T) anasema: "Na washauri katika jambo hilo, na ukiamua (kitendo/maoni fulani), basi mtegemee Allah" [3:159].
Shura is a right of all the Muslims which the Khalifah should fulfil. They are entitled to be consulted and the Khalifah should refer to them and consult them. Allah (S.W.T) says:. "And do consult them in the matter, and if you decide (on an action/on an opinion) put your trust in Allah" [3:159].
Allah (S.W.T) pia anasema,
Allah (S.W.T) says also .
"Na mambo yao ni shauri baina yao." [TMQ 42: 38]
"And their matter is in consultation between them". [TMQ 42: 38] .
Mtume wa Allah ﷺ alikuwa akiwarejelea watu na kushauriana nao.
The Messenger of Allah (PBUH) used to refer to people and consult with them. .
Alisema (ﷺ) kwamba aliwashauri siku ya Badr kuhusu mahali pa uwanja wa vita, na siku ya Uhud aliwashauri kuhusu kama wapigane ndani ya Madina au nje ya Madina. Siku ya Badr alichukua ushauri wa Al-Habab Ibnu-l-Mundhir kuhusu maoni ya kitaalamu yaliyotolewa na mtaalamu, nao aliukubali. Siku ya Uhud alikubali maoni ya wengi, ingawa maoni yake binafsi yalikuwa tofauti.
He (PBUH) consulted them on the day of Badr about the location of the battlefield, and he consulted them on the day of Uhud about whether to fight inside or outside Medina. On the day of Badr he took the advice of Al- Habab Ibnu-l-Mundhir regarding a technical opinion voiced by an expert which he accepted. On the day of Uhud he accepted the opinion of the majority, despite the fact that his personal opinion was different. .
'Umar Ibn Al-Khattab aliwashauri Waislamu kuhusu ardhi ya Iraq, kama igawanywe miongoni mwa Waislamu kwa kuwa ilikuwa ghanima, au iachwe mikononi mwa watu wake kwa sharti ya kulipa Kharaj huku ardhi ikibaki kuwa mali ya Hazina ya Serikali. Kisha alitenda kulingana na ijtihadi yake mwenyewe, na wengi wa Masahaba walikubaliana nayo, hivyo akaiacha ardhi mikononi mwa watu wake na akawaamuru walipe Kharaj.
‘Umar IbnAl-Khattab consulted the Muslims regarding the land of Iraq, whether to divide it among the Muslims because it was booty or to leave it in the hands of its people with the condition that they paid it’s Kharaj with the land remaining the property of the Treasury. He then acted according to his own ijtihad and the majority of the Sahabah approved of it, so he left the land in the hands of its people and ordered them to pay the Kharaj. .