10.1 Uteuzi na uondoaji wa Magavana
10.1 The appointment and dismissal of the Governors
Wulah wameteuliwa na Khalifa, ilhali ‘Aamileen wameteuliwa na Khalifa na pia na Wulah iwapo wamekabidhiwa kufanya hivyo. Masharti yanayohitajika kwa Wulah na ‘Aamileen ni sawa na yale ya Wasaidizi. Wanapaswa kuwa Waislamu, wanaume, huru, wamefikia umri wa kubaleghe, wenye akili timamu na waadilifu, pamoja na kuwa na uwezo katika kazi yao, na wanapaswa kuchaguliwa miongoni mwa Waislamu wachamungu na wenye ushawishi.
The Wulah are appointed by the Khaleefah, whereas the ‘Aamileen are appointed by the Khaleefah and by the Wulah if they are delegated to do so. The conditions required for the Wulah and ‘Aamileen are the same as those of the Assistants. They should be Muslim, male, free, mature, sane and just, as well as competent in their task, and they should be chosen from among the pious and the influential Muslims.
Ni Mjumbe wa Allah (ﷺ) ndiye aliyekuwa akiwateua Wali na Maamiri wa nchi. Yeye (SWT) alikuwa akiwateua juu ya Wilaya nzima, kama ilivyokuwa kwa Amr bin Hazm alipomteua juu ya Yemen nzima. Katika baadhi ya matukio, Yeye (ﷺ) alikuwa akimteua Waali juu ya sehemu ya Wilaya, kama ilivyokuwa kwa Mu’adh bin Jabal na Abu Musa. Alimtuma kila mmoja wao kwenda sehemu tofauti ya Yemen, kila sehemu ikiwa huru kutoka nyingine, akawaambia: