8 Amiri wa Jihadi
8 The Ameer of Jihad
Amiri wa Jihadi ni mtu ambaye Khalifa humteua kuwa Amiri juu ya mambo ya mambo ya nje, mambo ya kijeshi, usalama wa ndani na viwanda, ili kusimamia na kuendesha mambo hayo.
The Ameer of Jihad is the person whom the Khaleefah appoints as an Ameer over matters of foreign affairs, military affairs, internal security and industry in order to supervise and administer.
Yeye anaitwa Amir wa Jihadi, ingawa anasimamia idara hizi nne, kwa sababu idara hizi zote zinahusiana na Jihadi. Kwa hiyo mambo ya nje, iwe wakati wa amani au wa vita, yanaendeshwa kulingana na mahitaji ya Jihadi. Idara ya kijeshi inahusiana na majeshi yanayopigana Jihadi, katika muundo wake, maandalizi yake na silaha zake. Usalama wa ndani unahusiana na kuhifadhi na kulinda dola pamoja na kuhifadhi usalama ndani ya dola, kwa mfano katika kushughulikia waasi na wizi wa barabarani, kwa kutumia kikosi cha polisi ambacho ni sehemu ya jeshi lililoandaliwa kwa ajili ya Jihadi. Idara ya viwanda inajishughulisha na kutoa silaha na vifaa kwa jeshi kwa lengo la Jihadi. Hivyo, kwa kuwa mambo haya yote yanahusiana na Jihadi, ndiyo maana aliitwa Amir wa Jihadi.
He is named the Ameer of Jihad, although He supervises these four departments, because all these departments are linked to Jihad. Hence foreign affairs, whether at time of peace or war, are run according to the requirements of Jihad. The military department is linked to the armies that fight Jihad, in its formation, preparation and armament. Internal security is linked to the preservation and protection of the state as well as the preservation of security inside the state, e.g. in dealing with rebels, highway robbery through the use of the police force that is part of the army that is prepared for Jihad. The industrial department involves itself in supplying arms and equipment to the army for the purpose of Jihad. Thus since all these issues are linked to Jihad, accordingly He was called Ameer of Jihad.