2.1 Umbo la mfumo wa utawala katika Uislamu
2.1 The shape of the ruling system in Islam
Mfumo wa utawala wa Kiislamu unatofautiana na mifumo yote mingine ya utawala iliyopo duniani. Ni wa kipekee kwa msingi unaojengwa juu yake. Kwa sababu hiyo, unatofautiana katika fikra, dhana, vigezo na sheria ambazo kwazo unasimamia mambo ya watu, katiba na kanuni zinazotekelezwa, na katika umbo ambalo dola inajidhihirisha na kutofautishwa nalo na maumbo yote mengine ya utawala duniani kote.
The Islamic ruling system is distinct from all other existing ruling systems in the world. It is unique in terms of the basis upon which it is built. As a result it is distinct in the thoughts, concepts, criteria and laws by which it looks after the affairs, the constitution and cannons which it implements and executes, and in the shape by which the state is represented and distinguished from all other shapes of ruling in the whole world.