11.1 Biashara
11.1 Trade
Allah (SWT) amefanya mali kuwa njia ya kutimiza maslahi za binadamu katika dunia hii, na akaruhusu biashara kama njia ya kupata maslahi hizi (Masalih). Ni kweli kusema kwamba kile ambacho kila mtu anakitaka hakipatikani katika kila mahali, na kwamba kuchukua kitu kwa nguvu na kwa kushinda ni ufisadi. Kwa hiyo, inapaswa kuwepo mfumo utakaomwezesha kila mtu kupata kile anachohitaji bila kutumia nguvu na mabavu. Biashara ni mfumo huo, na kuna kanuni za kuuza. Allah (SWT) anasema,
Allah (swt) made the property a means to establish the interests of human beings in this Dunya (worldly life) and He (swt) allowed trading as a way to gain these interests (Masalih). It is true to say that what everybody wants is not available in every location and that taking something by force and overpowering is corrupt. Thus, there should be a system that enables everybody to take that which He needs without resorting to force and strength. Trading is that system, and there are rules of selling. Allah (swt) says,
“Enyi mlioamini! Msiteketeze mali yenu miongoni mwenu kwa batili, isipokuwa iwe biashara kwa ridhaa ya pande zote mbili.” [An-Nisa: 29]. Biashara ina aina mbili; ile iliyohalalishwa (Halal), ambayo katika Shariá inaitwa kuuza (Bai’a), na ile iliyoharamishwa (Haram), ambayo inaitwa riba (Riba). Kila moja ya hizi ni biashara. Allah ametufahamisha kuhusu makafiri kwamba walikataa kwa akili zao tofauti kati ya biashara na riba. Allah (SWT) anasema: