10.3.10 Adhabu
10.3.10 Punishments
Hizi ni hatua za msingi za muundo wa mfumo wa mahakama wa Dola ya Kiislamu. Maelezo yake yanatoa miongozo kamili kuhusu muundo na kazi ya mahakama, kwa namna ambayo malengo ya haki chini ya Uislamu yanatimizwa. Hata hivyo, mfumo huu hudumisha uadilifu wake si kwa mwongozo na ufafanuzi wa hukumu za Mwenyezi Mungu pekee. Una njia za kutekeleza kwa ufanisi maamuzi na hukumu zinazofikiwa na mahakama - adhabu (al-‘Uqubat).
These are the basic outlines of the structure of the Judicial system of the Islamic State. Their details provide comprehensive guidelines for both the structure and function of the judiciary, in such a way as to ensure that the objectives of justice under Islam are fulfilled. However, it is not only by means of guidance and clarification of the divine rules that the system maintains its integrity. It has at its disposal the means of effectively enforcing the decisions and judgements that are arrived at by the courts - the punishment (al-‘Uqubat).