12.9 Ardhi ya Waislamu ni Ardhi Moja
12.9 Muslim Land is One Land
Ardhi ambayo hapo awali ilitengeneza msingi ambao Khilafah ilianzishwa juu yake inaitwa ardhi ya Waislamu. Ni ardhi moja, kama ilivyotajwa katika utangulizi, na Khilafah inaichukulia kama hivyo. Kwa hiyo Khilafah itakaporejeshwa katika sehemu yoyote ya Ardhi ya Waislamu, mtazamo wake juu ya sehemu nyingine za Ardhi za Waislamu utakuwa ni kwa lengo la kuziunganisha chini ya dini ya Allah, Uislamu. Allah (SWT) anasema,
Land that previously formed the bedrock upon which the Khilafah was established is called Muslim land. It is one land, as mentioned in the introduction, and is considered as such by the Khilafah. So when the Khilafah is re-established in any part of Muslim Land its outlook upon the rest of the Muslim Lands would be with a view to reunite it under Allah’s deen, Islam. Allah (swt) says,.
"Shikamaneni nyote kwa kamba ya Allah wala msitengane." [TMQ 3:103].
“Hold fast all of you to the rope of Allah and be not divided.” [TMQ 3:103].
Hiyo ingemaanisha kwamba hakutakuwa na balozi za nchi nyingine za Kiislamu ndani yake, kwa kuwa nchi hizi hazichukuliwi kuwa "mataifa ya kigeni" kwa Khilafah. Badala yake, Khilafah itatumia kila njia iliyo nayo kuwaunganisha Waislamu: jeshi lake, vyombo vyake vya habari, mali yake, na vyama vya Kiislamu, ili siku moja Waislamu wote waweze kuachiliwa kutoka kwenye minyororo ya kundi la wafalme, marais na mawaziri wakuu wasio halali.
That would mean there would be no embassies to other Muslim countries within it, for these countries are not considered as ‘foreign nations’ to the Khilafah. Rather the Khilafah will use all means at its disposal to unify the Muslims; its army, its media, its wealth and the Islamic parties, in order that one day all Muslims will be freed from the shackles of the menagerie of illegitimate kings, presidents and prime ministers.